New Audio Coming Soon: Navy Kenzo – AIM

aim

Kundi la Muziki wa Bongo fleva linalofanya vizuri zaidi Tanzania na Afrika kiujumla la Navy Kenzo ,leo limetoa Rasmi Jarada la Santuri yao yaani ‘Album Cover’ ya album yao ya ‘AIM above inna Minute‘. @navykenzoofficial

No comments:

Post a Comment

paulmkale