Good News nyingine hii hapa, usiku wa kuamkia leo July 21, 2017 Waandaaji wa African Muzik Magazine Awards ‘AFRIMMA’ wametangaza list ya wasanii wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali kwa mwaka 2017 ambazo hujumuisha Mastaa kibao katika tasnia ya muziki wa Afrika.
Muziki wa Bongofleva haujaachwa kwenye list hiyo ambapo mastaa kutoka Tanzania Diamond Platnumz, Alikiba,Rayvanny, Tuddy Thomas, Darassa, Lady Jay Dee, Vanessa Mdee, Dayna Nyange,Yamoto Band na DJ D-Ommywameiwakilisha vizuri.
Sherehe za utoaji wa Tuzo hizo zitafanyika House of Blues, Dallas, TexasMarekani Jumapili October 8, 2017.
Nimekuwekea hapa FULL LIST ya nominees wa AFRIMMA 2017
No comments:
Post a Comment
paulmkale