VIDEO : Vanessa Mdee Ft. Mr. P ( P-Square ) - Kisela | Official Video


Mwimbaji staa wa Bongofleva Vanessa Mdee amerudi tena kwenye TV zetu na video yake mpya ambayo amemshirikisha Staa wa kundi la P Square Nigeria aitwae Peter a.k.a Mr. P, ukishaitazama video yenyewe hapa chini usiache kutuandikia comment yako umeipokeaje.

No comments:

Post a Comment

paulmkale