Mashabiki katika mtandao wa Instagram wamecharuka baada ya kuona picha
inayomuonyesha muimbaji maarufu nchini Tanzania, Diamond Platnumz akiwa
amevaa cheni mguuni (kikuku).
Mapema leo muimbaji huyo ambaye yupo nchini Marekani kwenye tour ya ABoy
From Tandale, alipost picha zake mpya kupitia mtandao huo huku moja
katika mguu wake wa kushoto akionekana kama amevaa kitu kinachohisiwa ni
cheni.
Baada ya kuona picha hiyo mashabiki wengi kupitia instagram
wamekasirishwa na kitendo hicho kwa madai hakiendani na tamaduni za
Kitanzania.
Haya hapa chini ni maoni ya mashabiki hao, hata wewe unaweza kutoa maoni yako kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii.
Makerahabiba
Mm mmmm hadi kikuku huko sio kabisa jaribu kumtafakari na mwenyez mungu
juu ya ukuu wale Leo ni raha kuvaa herein .kikuku je je ukirejea kweke
mungu utamjibu kitu gani … CIO poa.
diamondpletnumz
Kwani kikuku maana yake nin? Mimi kwa mtazamo wangu nipambo kama pambo
jingine tu , then kuhusu maana ya kitu hua inatengenezwa na mtu
mweenyewe nikama vile kisu unaweza kukitumia kukatia nyanya na vitunguu
au ukaamua kumdunga mtu
lemon_spiceup
Man_ada sio uteam..kwani huyo Si MTU mzima mtampangiaje maisha…kaamua ni
yeye..who are u kumwambia what to do…tatizo wabongo chokochoko
nyingi…jifunzeni kwa wazungu wenzenu kila MTU ana maisha take…who are u
to judge someone wewe mangapi unafanya ambayo sio sahihi..eti?.
ishamwinyi2454.
Heee!!!π¨π¨π¨ kikuku tenaaa!πππ innaalillah wainnaailah rajiun
yaaAllah tujaaliye mwisho mwema waja wako kwan ss ni wadhalimu kwako na
kwako tutarejea.
WAnaxhangaaa
Kikukuu wakat shanga unazo kiunon hawajui bila kumkatikia mzee baba pesa
aziingiiiπππππ waambie saiv utuumii nguvu kubwa kujikaza toilet
πππ.
uwalymussa
Wachokozi Na vikuku haya sindio Mwenenu kazi kwenu Wazee wa Modo
zakubana cjui vikondomu Mama yenu Ameanza watoto mutafata Sio wakwetu
huyo Kiumeni hatuna Tamaduni hizi
No comments:
Post a Comment
paulmkale