New Video : Flavour Ft. Chidinma- Ololufe(Official Music Video)

Tazama hapa Video mpya ya wimbo wa mkali kutoka Nigeria, Flavour inayoitwa ‘Ololufe’ imetoka na sasa mashabiki wake wanaweza kuitazama.

Nakukaribisha kuitazama, amemshirikisha mwanamuziki Chidnma na video imefanyika ndani ya Jiji la Cape Town, Afrika Kusini na kusimamiwa na Godfather Productions.


No comments:

Post a Comment

paulmkale