New Music: Victoria Kimani, Emma Nyra & Cynthia Morgan – Vex/Download
Moja ya ladha ambazo huwa zinakosekana masikioni mwa wapenzi wengi wa
muziki ni kuzisikia collabo za wasanii wa kike.Mastaa kutoka Nigeria
wametuletea hii, ni collabo poa ya Emma Nyra, Cynthia Morgan na Victoria Kimani.Wimbo unaitwa ‘Vex’, Usikilize hapa.http://www.hulkshare.com/millardayo__/cynthia-morgan-victoria-vex
No comments:
Post a Comment
paulmkale