Picha;Wema Sepetu aanzisha penzi la siri na msanii Ommy Dimpoz

Soudy Brown amezungumza na Ommy Dimpoz ambaye amesema kuwa sio mara ya kwanza kupiga picha na Wema, kuhusu picha iliyosambaa akionekana kitandani na Wema amesema alipigwa akiwa amelala na hajui kitu chochote juu ya picha hiyo, labda aulizwe Wema ambaye ndio alipiga picha hiyo.

No comments:

Post a Comment

paulmkale