Video ya Diamond Platnumz ‘Ntampata Wapi’ sasa ni hit kwenye kituo cha kimataifa.
Video ya mwisho kutoka kwa Diamond Platnumz inazidi kufanya vizuri
kwenye vituo vikubwa vya kimataifa. Video ya ‘Ntampata Wapi’ imepata
nafasi ya kuchezwa kwenye kituo cha Trace Urban cha Ufaransa, bado
imeendele kwenye kipendele cha SmashHit ikiwa ni sehemu ya kucheza
video kali tu.

No comments:
Post a Comment
paulmkale