New Video : Mavins - Looku Looku (Official Music Video)
Nigeria na Afrika zinaheshimu mchango mkubwa wa Don Jazzy kwenye muziki.
Don Jazzy
ni mmoja ya producers wachache Afrika ambao wanafanya kazi nzuri kwenye
huu muziki, ubora wa kazi zake unaweza kuonekana pia kwa
kuwaangalia mastaa ambao wamepitia kwenye mikono yake, ikiwemo D’Banj na Tiwa Savage.
Kawakusanya mastaa kibao kutoka Nigeria, kama ambavyo tumeona kwenye Dorrobucci, humu yumo Dr SID, D’Prince, Di’Ja, Reekado Banks na Korede Bello.
Single inaitwa ‘Looku Looku’, enjoy na hii nyingine ya Mavin feat. mastaa hao mtu wangu…
No comments:
Post a Comment
paulmkale