New Video:D’banj & Akon – Feeling The Nigga(Official Music Video)
Baada ya msanii kutoka Nigeria D’Banj kutoa wimbo wake mpya ya “Feeling
the Nigga” sasa kaamua kuitengeneza Remix ya wimbo huo, kamshirikisha
Akon Uzinduzi wa video hii ulifanyika mwisho wa wiki iliyo pita Lagos,
Nigeria siku ambayo D Banj alikuwa akifanya party yake ya kutimiza miaka
kumi kwenye muziki.
No comments:
Post a Comment
paulmkale