Twit ya Fid q baada ya Bondia Francis Cheka kuhukumiwa miaka mitatu jela.
Bondia maarufu Francis Cheka alihukumiwa kifungo cha miaka 3 gerezani
tarehe 2 feb 2015 na adhabu ya kulipa faini ya milioni moja na laki
sita baada ya kupatikana na hatiya ya kumpiga meneja aliekua amemuajiri
kwenye Bar yake huko mkoani Morogoro.
Watanzania wamepokea hukumu hii kwa utofauti huku wengine wakisema
lilikuwa jambo la kumalizana nyumbani na sio mahakamani, Rap Fid q
ametumia twit kuandika ujumba ambao unaonekana kulenga hali iliyomkuta
Francis.
No comments:
Post a Comment
paulmkale