Kaa Tayari;Nikki Wa Pili Kuja na ngoma yake mpya hivi karibuni
Rapper kutokea kundi la Weusi, Nikki wa pili baada ya kuingia studio
kufanya collabo na wasanii sita kwenye single yake mpya akiwemo, Joh
Makini, G Nako, Nahreel, Aika, Vanessa Mdee, na Jux, kupitia ukurasa wake
wa Instagram *ameteas* kava ya single hiyo mpya iitwayo SAFARI na
kuwahabarisha mashabiki kuwa single hiyo mpya inatarajiwa kuachiwa rasmi
tarehe 6 mwezi huu.
No comments:
Post a Comment
paulmkale