Soma hapa Nay Anazungumziaje kuhusu collabo yake Msanii Wa Nigeria Na Furaha Ya Ndoa Yake
HitMaker wa Akadumba The True Boy Nay Wamitego Amefunguka Kuhusu Wimbo
wake Mpya ambao Amefanya na Msanii Mkali Toka Nigeria Ambao
umeshakamilika Audio yake na Sasa anahesabu siku za Kufanya Video ya
Wimbo huo ambao amesema utakuwa wa Kimataifa.
Akiongea na Mtangazaji wa @MamboJamboRadio Arusha Hamis Abtway Maarufu
Kama @DjHaazu Katika Kipindi cha DUNDO kinachoruka Redioni Hapo Kila
siku za wiki Jumatatu hadi Ijumaa Kuanzia Saa Saba za Mchana hadi saa
Kumi Jioni, Nay amesema kuwa tayari Audio Imeshakamilika na kutokana na
Ukubwa wa Gharama Za Collabo hiyo ambayo Mpaka sasa amehesabu Shilingi
za Kitanzania Milioni 60 Amepanga Kwenda Kushut Video Hiyo South Africa
na kama haitakuwa hivyo Basi atamsafirisha Director Kelvin Bosco Toka
Kenya Hadi South Africa kufanya Video hiyo.
Katika Mengi aliyoyazungumza Nay una haki ya kuyasikiliza yote hapa
Chini ambapo pia ameweka Wazi jinsi anavyofurahia Ndoa yake ambayo kwa
imempa MtotoBOFYA HAPA KUSIKILIZA INTERVIEW
No comments:
Post a Comment
paulmkale