New Video: Lupe Fiasco Feat. Nikki Jean - Madonna ( Official Video )
Rapa Lupe Fiasco ametoa video ya wimbo wake mpya “Madonna” aliofanya
na msanii Nikki Jean. Ni stori inayomuhusu kijana aliyelelewa na Mama
ambaye anatumiwa dawa za kulevya na alibidi aanze kujihudumia akiwa
mtoto na kumsaidia mama yake ambaye alikuwa teja wa dawa hizo.
“Madonna” ipo kwenye album mpya ya Lupe ‘Tetsuo & Youth‘.
No comments:
Post a Comment
paulmkale