New Video: Ommy Dimpoz - Wanjera (Official Music Video)
Tazama hapa Video mpya ya Ommy Dimpoz “Wanjera” imetayarishwa ni kuongozwa na
Godfather Production.Video imefanyika Johannesburg, South Africa na
video mpdel ni Tanzanian Superstar Wema Sepetu na mshindi wa Big
Brother Hotshot Idris Sultan. Audio imetayarishwa na Manwater
(Combination Sound).
No comments:
Post a Comment
paulmkale