Dully Sykes aelezea maana ya wimbo wake ‘Togola

“Togola maana yake kama salamu tu, kizigua hicho,” alisema Dully. Unajua mwanaume unapokuwa mwenyewe huna partner ndani ya gari inabidi uanze kutizamatizama nikasema ‘mtizame’ lakini kutizamatizama unaweza kumuona mmoja wapo nje ukashusha kioo ukasema ‘hello, habari yako, salama’ hapo tayari ushatogola. Na ndio maana inamaanisha hii nyimbo kuwa ‘wewe bado ni kijana na unataka msichana wa maana’, msichana wa maana ni yule ambaye yupo tayari kuolewa.”

No comments:

Post a Comment

paulmkale