BOB JUNIOR NA FAMILIA YAKE
                          
    Rais wa Masharobaro, muimbaji na mtayarishaji wa muziki, Bob 
Junior amekanusha tetesi zilizokuwepo kuwa amerudiana na mke wake. 
 Akiongea na segment ya Inbox ya kipindi cha New Chapter cha Radio Free 
Africa, Bob Junior amesema mazoea ya kuwa na mke na kumuona mtoto wake 
kila siku yanamfanya awe na huzuni kubwa kuwa mbali nao. Junior amesema 
aliachana na mke wake na hajarudiana naye tena na hana mpango wa kuoa 
hivi karibuni.
Hivi karibuni kwenye Instagram Bob Junior alipost picha ya mwanae na kuandika:
Namshukuru
 Mungu kukupata wewe maisha yangu yote nguvu zangu zote Nitapigana hadi 
kufa ni kwaajili yako my son Rummy Raheem Rummy maisha yako huta jutia 
kupata baba kama mimi ila amini kilicho tokea……. ukija kukuua ipo siku 
utajua yote naishi kwenye maumivu mengi juu yako sana na hapa naandika 
text hii nalia sana kwa kuwa mbali nawewe sikuoni karibu my son ila jua i
 love u na kama mapenzi kupenda nasema nitakupenda na hata kuja yoyote 
kuzidi mapenzi yangu kwako mengine sisemi ila jua mwanangu nipo kwenye 
wakati mgumu wa kuto kuwa karibu na wewe i love u my son ( rummy .”
No comments:
Post a Comment
paulmkale