Siku moja kabla hajatangaza tarehe ya kutoka kwa album hiyo (April 3) Breezy pia aliandika ujumbe Instagram unaoelezea maisha yake.Alipost picha (hapo juu) na kuandika:
“Nimekutana na mambo mengi katika maisha yangu, nimefanya makosa mengi. Lakini kupitia hayo yote nimekuwa mkweli kwangu, na kwa kupitia Mungu nimeweza kuihudumia familia yangu! Natakiwa kujuta kwa baadhi ya mambo lakini nadhani somo nililopata litanibadilsha kuwa mwanaume wa kweli. I’m grateful and appreciative! Thank you for life!”
No comments:
Post a Comment
paulmkale