Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9

Power couple ya Tanzania, Diamond Platnumz na Wema Sepetu ndio inayoongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram.Hii ni orodha kamili (July 31,2014)

1.Diamond Platnumz
 183,205

 2.Wema Sepetu
 168,954

3.Elizabeth ‘Lulu’ Michael
 129,047

4.Jokate Mwegelo
 102,168

 5.Millard Ayo
 102,068

6.Jacqueline Wolper
 99,545

 7. Ommy Dimpoz
 95,415

8.Aunty Ezekiel
 94,379

9.Kajala
 88,769

No comments:

Post a Comment

paulmkale