Muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu'.
Muigizaji wa filamu Elizabeth Michael 'Lulu' anaendelea kuonesha
hisia zake kwa Justin Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia
ujumbe kila Jumatatu.
Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya Justin Bieber akiwa kifua
wazi akipiga kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa
anaota ndoto za mchana na kwamba hatampata.
“Mapemaaaa...Kabla
cku haijawa ngumu..! Haya ni hv wale wa kuandika ndoto za nn cjui...Mara
cjui huwezi kumpata na cjui kimepanda kimeshuka...msinijazie
comment😂😂😂Acha niwape ufafanuzi kdgo...ni hv Huyu Bwana swala
ya yy kupenda....nimemwachia awapende kina @selenagomez na wengine wote
anaotaka kuwapenda...ila swala la yy kupendwa Aniachie Mimi....yan hyo
kazi yangu....!!!
Sasa Kama ni ndoto Wallah
ctaki kuamka,Kama ni ufala...yani ninaukubali kwa asilimia 150%,na
mengine mengine yote...sasa Kama nakuchefua,Nina uhakika Zile ndimu za
@diamondplatnumz haziwezi kukutosha mana hiki kichefuchefu co cha
kuisha,bora utafute mbegu ya Malimao au mbilimbi upande kwako kbsa....Na
hili Zoezi ni endelevu...yani kila Jumatatu...Kama Mshahara vile....!!!
#MCM...... #Nilikuwepo”
No comments:
Post a Comment
paulmkale