Big Brother Africa: M-Net yatangaza kuwa nyumba mpya imepatikana na show itaendelea ‘mwezi ujao’

Baada ya uzinduzi wa msimu wa tisa wa show ya Big Brother Africa uliopewa jina la ‘HotShots’ uliokuwa ufanyike Jumapili hii, kutangazwa kuahirishwa baada ya kutokea kwa ajali ya moto iliyodaiwa kuteketeza nyumba iliyokuwa imeandaliwa kwaaliji ya
show hiyo, hatimaye M-Net na Endemol SA wametangaza kuwa tayari nyumba imepatikana na show itaendelea.Katika taarifa iliyowekwa kwenye mtandao wao, inasema M-Net na Endemol SA wametumia saa 48 kutafuta nyumba mpya Afrika Kusini na sehemu nyingine duniani ili kuhamishia kipindi hicho.

“timu ina furaha kutangaza kwamba show itaendelea kwakuwa nyumba yakuwezesha kipindi kwenda hewani ndani ya mwezi mmoja imeshapatikana.” Ilisema sehemu ya taarifa hiyo.

Hivi ndivyo ilivyoandikwa:

“Following the devastating fire on 2 September 2014 at the Big Brother house in Johannesburg, M-Net and Endemol SA have spent the last 48 hours searching both locally and internationally for a venue in which to produce Season 9 of the highly popular Big Brother Africa reality show. After exploring all possible options, the team are delighted to announce that the show will go on as a venue has been found to get the show on air within the next month.

A multitude of factors have had to be considered including the complex technical requirements, logistics, technical crews and satellite link facilities which have all formed part of the challenge. However, M-Net is delighted to assure all its Big Brother fans that their favourite reality show will launch soon and thanks fans from across the continent for their support during the last two days.”

Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki kwenye mtandao wa Big Brother ambao wengi wanaamini kuwa hii yote ni ‘kiki’.

<strong>Julia Chawira - Biggie can never be trusted I’m not convinced about the fire,if he can play with the housemates’minds he can also play with the fans’

Nick-Venter S. Edwards – The statement is unprofessional vague and speculative. Why not issue a statement when you have definitive and conclusive information? For instance, the show will be hosted within a month – that is rather vague. You have found an alternative venue – that is inconclusive.

Hamaseb Ivan - the house neva burnt its part of biggy’s plan to keep us on our toes

Nicolaus Chande - No fire at all! Da show will be started as it was announced b4! Stay tuned on ur screens on 7th Sept…comin’ sunday! Copy dat……..!!!

Bright Orji - Good news biggie. Big Ups to you. And at this juncture, please be a little clearer. Will the show air this month sept or in Oct. You know me naa – I can’t wait!@paulmkale

No comments:

Post a Comment

paulmkale