Davido kushoot video mbili kwa mpigo wiki hii Marekani

Baada ya mastar wa Nigeria P-Square, Wizkid na Iyanya kuachia video zao mpya ambazo wote wameshoot Marekani hivi karibuni, hit maker wa ‘Aye’, Davido naye anatarajia kushoot video mbili kwa
mpigo jijini New York, Marekani wiki hii. Davido katumia facebook yake kuwatangazia dancers na warembo wa Marekani watakaopenda kushiriki kwenye video hiyo. “Shooting 2 videos […]

No comments:

Post a Comment

paulmkale