Kaa Tayari Rich Mavoko kuachia video mpya ‘Pacha Wangu’ wiki hii(NISHEEDAH)

Moja kati ya wasanii wakali wa Bongo Flava, Rich Mavoko amatease video yake mpya anayotarajia kuiachia hivi karibuni ya wimbo wake ‘Pacha Wangu’. Mavoko aliyekuwa kimya kwa muda kidogo amesema mashabiki wake na watu wengine wote wakae mkao wa kula kupokea kitu kipya na Bofya Hapa Kwa Taarifa Zaidi...(twitter;@paulmkale)fb;paul e kilas
cha utofauti kitakachoishangaza Afrika kiujumla kwakuwa safari hii amesema anakuja kwa utofauti kidogo.“Wadau wakae mkao wa kula. Kuna video mpya itatoka wiki hii siku ya Alhamisi. Ni video fulani ambayo sikupenda sana kuongea mambo mengi kabla watu hawajaiona. Nataka watu waone kwanza halafu nitazungumza mengi kuhusu nimefanya wapi na kwanini nimetoa wakati huu,”

No comments:

Post a Comment

paulmkale