Fuata Maelekezo Hpa Kuweza Kumpigia Kula Diamond Platinumz Kwenye Tuzo Za Chanel o,AMVA#2014


Nina kila sababu ya kuendelea kumshukuru Mungu kwa kila hatua mpya ninayoipiga,pasipo kuwasahau nyinyi mashabiki wangu wapenzi mnaonipa sapoti inayonipa nguvu kwa kile ninachokifanya..Tuzo kubwa barani Afrika za Channel O 2014  Zijulikanzo kama,Choamva zimewadia,na kupitia vuideo ya number 1 nimechaguliwa kuwania tuzo katika
vipengere vinne(4) 
ambavyo ni pamoja na
MOST GIFTEDVIDEO OF THE YEAR, 
MOST GIFTEDNEWCOMER, 
MOST GIFTED AFRO POP
na MOST GIFTED EAST AFRICA..

ni hatua na fursa nyingine njema kwa muziki wetu  kuzidi kutambulika ,hivyo tushilikiane kwa pamoja
kunipgia kura  kwa kubonyeza hapa VOTE HERE ,kisha chagua kila category niliyopo,utaombwa kujirejista baaada ya hapo utaweza kunipigia kura mara nyingi uwezavyo.
pia njia nyingine kwa wenye smart phones go to app store/ googleplay download we chat app kisha tengeneza plofile na u search channelotv na uanze kupiga kura.unaruhusiwa kuvote hata mara 100@Paulmkale

No comments:

Post a Comment

paulmkale