Full Shangwe Kwa Wakazi Wa Mbeya Wasanii wa Serengeti Fiesta watinga Radio za Mbeya na kuhaidi makamuzi

Wasanii wanaotarajiwa kufanya makamuzi usiku wa leo kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mapema leo walipata nafasi ya kutembelea radio za mkoa huo ambazo ni Mbeya Fm, Bomba Fm na Generation Fm.

No comments:

Post a Comment

paulmkale