"Big Brother Hotshot" ambacho kilitarajiwa kuzinduliwa jumapili ya tarehe 7,September (2014) kupitia MultiChoice's DStv satellite pay-TV platform.
ha kushukuru ni kuwa hakuna mtu yeyote aliejeruhiwa kutokana na moto huo. sababu za kuzuka kwa moto huo bado hazijajulikana lakini
kutokana na kuwa na production ngumu ya kipindi hicho mbadala huo
hauwezi kupatikana kwa haraka, ila wamehakikisha kuwepo kwa kila
jitihada ili kupata solution mapema iwezekanavyo kuhakikisha kipindi
hicho kikubwa cha reality Africa kinaendelea.
Kutokana
namabadiliko ya kitengo cha visa SA, endemol South Africa ilibidi
kumtema mshiriki aliekuwa amechaguliwa kutoka Ghana na kuanza kumtafuta
mghana anaeishi South Africa kumuweka kwenye show. Endemol South Africa
pia imeiondoa Rwanda na Sierra Leone katika mashindano hayo ya 9 ambayo
highlights zake zilikwisha anza kuonyeshwa kupitia Africa Magic (DStv 150) na two 24-hour DStv TV channels kupitia channel 197 na 198.
Baada ya kupambana na moto huo, Mnet na Endemol South Arica wamesema
"Kutokana na moto huo katika jumba la Big Brother, Big Brother haitazinduliwa jumapili hii kama ilivyokuwa imepangwa"
No comments:
Post a Comment
paulmkale