Mabeste ni rapper anayefahamika kwa uwezo wake mkubwa kiuandishi lakini
kitu ambacho wengi hawakifahamu ni kuwa hitmaker huyo wa ‘Baadaye Sana’ ni
producer na mwandishi mzuri wa nyimbo. Katika kuthibitisha hilo, msanii
huyo wa zamani wa B’Hits ameuandika wimbo mpya wa Jux unaotoka leo,
Sisikii.
No comments:
Post a Comment
paulmkale