Nay wa Mitego, Dogo Janja, Pnc na wengineo
Ngoma hiyo aliyoipa jina la "Wamenichokoza" akiwa amemshirikisha King Silver amemdiss Mo Music na Nay wa Mitego kwa kusema
"mwanzoni ulipokwenda pamoja tulikwenda kuhit basi nenda, kufanya ngoma yangu ndio unanipiga kalenda
wamitego acha poz kama dem, kama kidume kweli kwanini hupokei simu.
hakuishia hapo aliendelea na kumdiss Young Killer na Dogo Janja kwa kusema
"Hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba, msodoki acha uongo
kusema umejenge nyumba"....Dogo janjaro chunga utapauka utadhani goti la
mbuzi wakati kwa madee unakula na kunywa nkujamba tu ushuzi"
alipofikia kumdiss msanii Kimbunga Dogo D alisema
"kimbunga mchawi jipange kuroga kwangu, wachawi wenzako wamekuwa wake
zangu.....", Kala pina kabuma hajui afanye nini, waambie waeusi navaa
miwani na bado naona gere "Unajua mziki ni changamoto halafu mi pia nipo nao peace wote, Nay nipo
nae peace, young killer na Mo Music wote nipo nao peace, halafu pia
ngoma hiyo "wamenichokoza" imeongelea ukweli mtupu, maana Nay pia
nikimpigiaga simu sometime hapokei, unajua Mo Music kipindi haijahit
basi nenda tulikuwa nae peace ila ilivyohit basi nenda akabadilika so
hii ngoma imeongelea ukweli asilimia kubwa sana na ndio maana ngoma hii
inapenya na inazidi kupenya na nikaamua kuwachana ambao wanazingua siku
zote"
No comments:
Post a Comment
paulmkale