Ommy Dimpoz akisherekea birthday yake ndani serengeti fiesta Shinyanga(VIDEO)
Katika hatua nyingine Ommy amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula kwa video na audio mpya.
“Kuna kazi nyingi zinakuja na kuna kolabo nyingi nimerekodi lakini itakavyokuwa karibuni kutoka watu wataweza kufahamu. Lakini nafikiri mwisho mwa mwezi wa kumi nitarelease video na audio ya wimbo mpya kabisa.”
No comments:
Post a Comment
paulmkale
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
paulmkale