SHILOLE - NAMCHUKUA(VIDEO TEASER)

Mwezi uliopita Shilole alienda Nairobi, Kenya kushoot video ya single
yake mpya ‘Namchukua’, video ambayo imeongozwa na director Kevin Bosco
Jnr. Shilole amesema video hii imemgharimu si chini ya shilingi milioni
10. Hii ni teaser ya video hiyo inayotarajiwa kutoka ‘soon’.Tazama Hapo Chini

No comments:

Post a Comment

paulmkale