Picha: Ni collabo ama P-Square kumsainisha Awilo Longomba?

Tangu aachie wimbo mpya ‘Bundelele’, muimbaji mkongwe kutoka DRC, Awilo Longomba ameonekana kuwa karibu na wasanii wakubwa wa Nigeria.Lakini picha iliyowekwa na Peter Okoyo wa P-Square inaashiria neema zaidi kwa
Longomba aliyepo nchini Nigeria kujitangaza zaidi. Peter ameweka picha akisherehekea jambo na Longomba na kuandika: Will let y’all knw what we are celebrating soon…. Just wait for it. Cos it’s a big one! #P-Classic.”

Naye Longomba kupitia ukurasa wa Facebook ameweka picha hiyo na kuandika: Something exciting is about to be unveiled stay tuned and follow my Instagram and Twitter @awilolongomba.”

Wanasherehekea nini? Collabo ama kuna uwezekano P-Square wakamsaini msanii huyo anayependwa? Uwezo wanao.

No comments:

Post a Comment

paulmkale