Soma Rich Mavoko Alivyokataa Kushoot Video Na Mnyama Cheetah Kwenye Wimbo Wake Mpya"Pacha Wangu"

Mavoko amesema kuwa awali aligoma kabisa. “Haikuwa rahisi aisee,”Nakumbuka wakati tumefika pale, hali ilibadilika ghafla cause plan ilikuwa ni kwamba cheetah apigwe shot za peke yake akiwa anatembea, lakini Adam akabadilisha script, akasema
‘Mavoko inabidi uimbe na cheetah’. Mwanzo niligoma kabisa, ila baada ya kunishawishi yeye na yule mama wa kizungu anayemfuga, ambaye akanipa mifano akaniambia ‘mbona akina Burner Boy na Dbanj walishoot naye bila kuogopa you can do it too’ ndo nikajikaza kisabuni ikabidi nikubali. Ila haikuwa rahisi kwasababu yule cheetah ni wa kweli na ana meno, ila nashukuru Mungu tulipata shot nzuri.”Watanzania wengi wa nje na ndani ya nchi wamempongeza Rich Mavoko kwa video nzuri iliyoshootiwa jijini Cape Town, Afrika Kusini.
Twitter@paulmkale fb;paul e kilas

No comments:

Post a Comment

paulmkale