MLAPA NG’OSHA-KALALE PEMA(OFFICIAL VIDEO)

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Gabriel Samalu
Ng’osha ‘Mlapa Ng’osha' ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la
'Kalale Pema' aliyoelezea maisha ya mateso anayopata mama mjamzito.
Video

hiyo imetengenezwa chini ya prodyuza Melkiadi Oreje 'OJ' wakati audio
ikifanywa na Lebo ya Audio Visual ya nchini Kenya chini ya maprodyuza
Haptune & Douncher.

No comments:

Post a Comment

paulmkale