Zawadi Ya Birthday Aliyopewa Wema Sepetu Kutoka Kwa Diamond Platnumz.

Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako
imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan.Ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya Wema Septu ambaye ni mpenzi a msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnum, Wema amepokea zawadi mbali mbali kutoka kwa marafiki na Familia. Miongoni mwa zawadi zilizomshtua Wema ni kuletewa magari mawili likiwa moja kutoka kwa
Diamond. Gari alilopewa Wema kutoka kwa Diamond ni Nissan Murrano Nyeusi na nyingine BMW kutoka kwa mtu ambaye bado hajatajwa. paulmkale.blogspot.com
Zawadi imeletwa kwa Wema na mama mzazi wa Diamond Platnumz. #HongeraWema Na HappyBday
wemaa 2

No comments:

Post a Comment

paulmkale