Angel Benard_-Shujaa[NEW AUDIO]@paulmkale

Wimbo mmoja kila wiki kwa wiki 10!"* Huu ni wimbo wa pili kutoka album mpya NEW DAY kutoka kwa Angel Benard - wimbo unaitwa SHUJAA. *SHUJAA.* Kuna wakati katika maisha tunakutana na mambo magumu na hakuna wa kukutia moyo, kwa sababu wengi waliotuzunguka ni watu ambao mara nyingi hufurahi tunapoumia. Huu ni wimbo ambao mtu unajikumbusha mwenyewe juu ya uhalisia wa maisha na kasha unajikumbusha kwamba “you are the hero of your own soul”. Mungu ametuamini na mitiani ya maisha, hivyo na sisi tunakubali kupambana na kila hali hadi kufikia ndoto zetu hata kama huko njiani kuna vikwazo.Isikilize Na Download Hapa

No comments:

Post a Comment

paulmkale