Young Killer Ft Fid Q & Bell 9_-13[NEW AUDIO]@paulmkale

Young Killer ameachia wimbo wake uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu ’13’ aliowashirikisha Fid Q na Belle 9. Maproducer wanne wameshiriki kuutengeneza wimbo huo akiwemo P-Funk Majani. Wengine ni Palla Midundo, Amiga Tyga na Lollipop.Isikilize Na Download Hapa..>

No comments:

Post a Comment

paulmkale