Khalid Chokoraa ft Msaga Sumu_-Maneno[NEW AUDIO]
Msanii Khalid Chokoraa ambaye pia ni bondia wa kulipwa anakuletea track
yake mpya Maneno amabapo amemshirikisha mzee wa Kigodoro a.k.a Msaga Sumu.
Hii ni colabo ambayo siyo ya kawaida lakini matokeo yake yamekuwa ni mazuri
kupindukia. Sikiliza Na Download Hapa
No comments:
Post a Comment
paulmkale