Kwa mara ya kwanza, mgonjwa aliyelazwa kwenye hospitali ya Marekani amepatikana na virusi vya ugonjwa wa
Ebola.
Mwanaume huyo ambaye bado hajatambulika na anayetibiwa kwenye
hospitali ya Dallas, hakuonesha dalili zozote hadi siku nne au tano
baada ya kuwasili Marekani Liberia.
Habari hiyo imesababisha hofu kubwa nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment
paulmkale