Sugu Ft Professor Jay - Makamanda[NEW AUDIO]@paulmkale

DJPAUL

Mdau wa Mziki wa Kizazi kipya ndani ya Bongo na Kwengineko ulimwenguni. Pokea kazi mpya toka kwa wakongwe hawa wawili katika kuihamasisha jamii ya KI-TANZANIA kuhusu hali ya sasa na Uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015. * *Wimbo unaitwa MAKAMANDA, waliochana mistari humo ndani ni Mhe. Sugu na Professor Jay, umefanywa Mwanalizombe Records chini ya Producer Villy.Isikilize na Download Hapa



No comments:

Post a Comment

paulmkale