Baba Mzazi Wa P-Square Afariki Dunia Hili Ni Pigo Kwa P-square

Mapacha kutoka nchini Nigeria Peter Okoye&Paul Okoye P- Square pamoja na kaka yao Jude Okoye,Jumatatu ya Nov 24 wamempoteza mzazi aliyebakia...> ambaye ni baba yao mzazi hii ni miaka miwili tangu afariki mama yao.

tovuyi ya www.Naij.com imesema kuwa Mr.Okoye alikua akisumbuliwa na maumivu ya Goti baada ya kufanyiwa upasuaji ingawa hali iliripotiwa kuendelea vizuri.Lakini Ndo Hivi Hatunae Tena..psqdad

No comments:

Post a Comment

paulmkale