Damian feat Joe Makini-Ni Penzi(Video Teaser)

Baada ya kupitia misuko suko ya hapa na pale katika kukamilisha utengenezaji wa video ya wimbo wake "Ni Penzi" ikiwa ni pamoja na mtayarishaji kuondoka na pesa zake (hakutaka kuongelea), video hiyo imekamilika kwa...> sasa.Damian anatarajia kuzindua vudeo hiyo ambayo imefanyika hapa hapa bongo location za oysterbay na masaki na kuhusisha wabunifu kutoka bongo kuwavalisha katika video hiyo, Ijumaa hii ndani ya Escape 1, huku akiahidi uwepo wa wasanii wengine kutoka nje ya Tanzania

No comments:

Post a Comment

paulmkale