Hivi ndivyo ilivyokuwa siku ya mazishi ya marehemu Geez mabovu
Joh
Makini ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria mazishi hayo Wengine
waliohudhuria ni pamoja na producer Lamar na members wengine wa Weusi.
Geez alifariki usiku wa jana akiwa..> kwao mjini humo baada ya kuugua kwa
siku kadhaa. Hizi ni baadhi ya picha za mazishi yake.
No comments:
Post a Comment
paulmkale