Kaa Tayari;Barnaba Kuachia Single Mpya Akiwa Vanesa Mdee Hizi Ni Baadhi Ya Picha
Hajafanya kolabo nyingi sana kiasi cha kusema tumezoea, hii ndio sababu nyingine ukisikia V Money ( Vanessa Mdee ) kaungana na msanii mwingine...> kufanya kazi ya muziki pamoja unakua na hamu ya kuisikia hiyo kazi yenyewe.
Hata hivyo haiko mbali na wewe manake November 18 2014 ambayo ni
Jumanne wiki hii ndio spika zako zitakupa dakika za hii kolabo inayoitwa
siri ambayo inamuhusisha mkali mwingine aitwae Barnaba. @BarnabaClassic
Baada ya hii picha kupostiwa yaliandikwa haya maneno >>>Barnaba : line 1/
Tren Langu la kutongoza limefunga (:brake )na Kituo ndo wewe kipenzi
Sina mengi Mimi Sio Mtoto wa mujini Nimefunzwa Jandoni Kipenzi- Vanessa
:line 1 Hadithi Hadithi uwongo Njoo Haya nieleze Porojo mie bado Mdogo
!! Ivi ni Juzi ulikuja na Mauwa . Kulikua na Barua ila sikuifungua’ Song
… SIRI … Loading………..:::: traffic ……. Mjiandae kukinga Ajali za masikio
ya watu !!! @vanessamdee
No comments:
Post a Comment
paulmkale