Behind the scene ya kwanza ya Ay kwenye video na Sean Kingston, nyingine zinakuja
Inawezekana mimi na wewe tunafahamu kwamba msanii wa Tanzania Ay
alikwenda Marekani kufanya video na staa wa muziki duniani Sean Kingston
lakini hatujapata nafasi ya kuiona video ya kwanza ikionyesha sehemu ya
utengenezwaji wa video hiyo.
Saa kadhaa zijazo utashuhudia video nyingine nzito Exclusive kupitia AyoTV ambapo Ay ataonekana akiwa nyumbani kwa Sean Kingston.
No comments:
Post a Comment
paulmkale