Showing posts with label BEHIND THE SCENE. Show all posts
Showing posts with label BEHIND THE SCENE. Show all posts
Behind The Scene: Rich Mavoko Feat Diamond Platnumz - KOKORO (Audio Recording) || Watch
Behind The Scene: Rich Mavoko Feat Diamond Platnumz - KOKORO (Audio Recording) || Watch
Video: Diamond Platnumz Feat Ne Yo - Marry You | Download Link
Leaked Video From Diamond Platnumz feat Ne Yo, The Song Is Titled Marry You
(Official Video).. Watch And Download Here...Enjoy
Video: Rich Mavoko - Ibaki Story (BEHIND THE SCENE) PART 1 & 2 | Watch

Video: Rich Mavoko - Ibaki Story (BEHIND THE SCENE) | Watch
PART ONE
PART 2
Behind The Scene: Nay wa Mitego - Shika Adabu Yako
WATCH VIDEO HERE || NAY WA MITEGO – SHIKA ADABU YAKO (Behind The Scene)
Video: Mkubwa na Wanawe - Cheza Kimadoido (Behind the Scene)
Video ya Yamoto Band - Cheza kimadoido iliyofanyika South Afrika iko mbioni Kutoka.Nimekuwekea Bihind the Scene ya Video hii.Icheki hapa chini.
Video: Diamond Platnumz Ft Mr Flavour - "Nana" (Behind The Scene)
Iyanya feat Diamond Platinumz - (I love)Nakupenda BTS
Tazama hapa iyanya akiwa anaiianda video ya ngoma yake mpya"I LOVE"Ambayo yuko na msani kutoka TZ Diamond Platinumz.
Picha,Yemi Alade akishoot video ya ngoma yake mpya‘Taking Over Me’
Ukiangalia video yake ya ‘Johnny’ na ‘Tangarine’, au namna alivyofanya vizuri kwenye video ya ‘Baby Hello’ ya staa mwenzake wa Nigeria, Wande Coal; unaona ni jinsi gani staa huyu wa muziki Yemi Alade yuko vizuri kwenye kuifanya video kupendeza.
Ana nyimbo kali kibao, collabo pia ambazo zimefanya Afrika tumtambue staa huyu kutoka Nigeria, mpya kutoka kwake ni kwamba ametupa ishara tukae tayari kuiona video yake mpya muda wowote kuanzia sasa.
Kashea na sisi picha za Behind the Scenes, wimbo ulifanywa na Producer GospelonDeBeatz, wimbo unaitwa ‘Taking Over Me’ humo ndani kapewa collabo staa mwingine kutoa Naija, rapper Phyno.
Kingine ni kwamba video hii inafanywa Nigeria na South Africa, nimeshea na wewe hizi za Behing the Scenes.
Behind the scene ya kwanza ya Ay kwenye video na Sean Kingston, nyingine zinakuja
Inawezekana mimi na wewe tunafahamu kwamba msanii wa Tanzania Ay alikwenda Marekani kufanya video na staa wa muziki duniani Sean Kingston
Tazama Diamond Platinumz and Yemi Alade Wakiwa CokeStudioAfrica#NISHEEDAH@paulmkale
Subscribe to:
Posts (Atom)













