Showing posts with label DIAMOND PLATINUMZ. Show all posts
Showing posts with label DIAMOND PLATINUMZ. Show all posts

Audio : Diamond Platnumz Ft Alikiba - DOSALI { Official Audio } | Mp3 Download

Audio : Diamond Platnumz Ft Alikiba - DOSALI { Official Audio } | Mp3 Download
 https://cloudup.com/files/i2Kbda4MUil/download

NeW AUDIO: Diamond platnumz- “Barua” [A capella] | Mp3 Download [New Song]

Audio | Diamond platnumz- “Barua” [A capella] | Mp3 Download [New Song]....If You are a Music Artist , Be it Upcoming  or  Famous  And You wish To Drop Your Music For Fans To Access Online .You can chek for whatsapp no; +255742758578

BEEF KWISHA : Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz , Diamond amchangia Ommy Dimpoz milioni 20 za matibabu na akimwambia augue pole

Image result for DIAMOND PLATNUMZ NA OMMY DIMPOZinasemekana wawili hao wamaliza bifu yao iliyo kuwa ikitrend kwa muda wa miaka miwili na zaidi lakini leo hii CEO wa Lebel kubwa hapa bongo wa WCB wasafi amedhihirizsha uma kwa kuposti hiyo picha kwenye ukurasa wake wa instagram na kumsamehe ommy dimpoz

NeW AUDIO: Diamond Platnumz – Nikifa Kesho |Download


Audio :Diamond Platnumz – Nikifa Kesho |Download

DOWNLOAD

NeW AUDIO: Diamond Platnumz – Tandale | Mp3 Download

Audio | Diamond Platnumz – Tandale | Mp3 Download [New Song].....If You are a Music Artist , Be it Upcoming  or  Famous  And You wish To Drop Your Music For Fans To Access Online .You can chek for whatsapp no; +255658374465

BIFU YA DIAMOND PLATNUMZ NA ALI KIBA YAZIDI KUPAMBA MOTO LEO HII DIAMOND AKIMDIS ALI KIBA KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM JIONEE MWENYEWE NA ALI KIBA KATUPIA DONGO KWA DIAMOND HAPA NI PATAMU


Hiki Ndicho Alichokiona Mr Blue Kutoka kwa Daimond na Alikiba
Staa wa muziki wa Hip Hop Bongo, Kherry Sameer ‘Mr Blue’, ambaye yupo kwenye gemu tangu mwaka 1999, akiwa amefanikiwa kufanya albamu mbili, Mr Blue na Yote Kheri, amefunguka kuwa wanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Salehe Kiba ‘Alikiba’, wana vitu vya ziada vinavyowafanya wazidi kufanikiwa.



Akichonga na Mikito Nusunusu, Mr Blue alisema kwamba wanamuziki wengi chipukizi hutamani kuwa kama wawili hao bila kufahamu mbali na kufanya muziki wanajituma, wana nidhamu na wana malengo ya kufika mbali.



“Unajua wengi hutamani kuwa kama fulani kwenye muziki hasa watu wanaofanya vizuri zaidi kwa sasa kama Diamond na Kiba, lakini bila kufahamu kwamba ili ufanikiwe ni lazima uwe na vitu vya ziada mbali na kuimba kawaida.



“Kwa ushauri wangu, wanamuziki chipukizi waangalie ni vitu gani vya ziada wanavyo wanamuziki wanaotamani kuwa kama wao wavifuate na wataweza kufika kule wanako kuhitaji,” alisema Mr Blue. 

Audio | Diamond Platnumz – Eneka Remix By Dj B.| Download mp3

Audio | Diamond Platnumz – Eneka Remix By Dj B.| Download mp3

New Audio | Rayvanny - Chuma Ulete | Download


https://my.notjustok.com/track/download/id/240968/by/kidebway
New Audio | Rayvanny - Chuma Ulete | Download

Video: Diamond Platnumz Feat Ne Yo - Marry You | Download Link

Leaked  Video From  Diamond Platnumz feat Ne Yo, The Song Is Titled Marry You (Official Video).. Watch And Download Here...
 Enjoy

 
WATCH FROM YOUTUBE

Ali Kiba atoa tsh 21Milioni na Diamond atoa tsh 20Milioni jumla tsh 41milioni kusaidia ‘GSM Foundation’ Bofya kujua zaidi

Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhawani Kikwete amewapongeza wasanii wa muziki, Diamond Platnumz na AliKiba kwa kutoa msaada wa tsh 41milioni kwa ‘GSM Foundation’ ili kusaidia jitihada za taasisi hiyo za upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi.
Diamond na Ali Kiba

Mtoto huyo wa Rais mtaafu, amewapongeza wasanii hao kwa kuonyesha kuguswa na kusaidia matatizo ambayo yanatokea katika jamii.

“Katika vitu vimeonyesha umuhimu wa kuwa stars katika jamii yetu ni hili mlilolifanya wadogo zangu. Ni jambo la kusifiwa na Mungu atawalipa kwa kuwaongezea maarifa ya kufanya kazi zenu vizuri,” Ridhiwani aliandika katika instagram yake.

Aliongeza, “Pia niwapongeze sana GSM Foundation kwa kazi nzuri mnayoifanya. Kutoa si utajiri, ni moyo na mungu atakuzidishia ndugu mkurugenzi Gharib pale ulipotoa. Kila la kheri katika kusaidia jamii yetu yenye mahitaji. Peace to you,”

Siku chache zilizopita Diamond Platnumz alitoa msaada kwa taasisi hiyo wa tsh 20 Milioni na baadae AliKiba na yeye aliamua kutoa tsh 21 Milioni.

Diamond na Jah Prayzah wa Zimbabwe washoot video ya collabo yao SA

Baada tu ya kutoka kurekodi collabo ya Coke Studio ZA na Cassper Nyovest, Diamond Platnumz aliingia location kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na staa wa Zimbabwe, Jah Prayzah.Jah 1
Prayzah ambaye jina lake halisi ni Mukudzei Mukombe alilazimika kusafiri hadi Dar es Salaam kuja kukamilisha collabo yake na Diamond hivi karibuni.
Jah Prayzah ambaye hujulikana pia kwa jina la Musoja kutokana na kupenda kuvaa nguo za kijeshi, amemshirikisha Diamond kwenye wimbo wake uitwao Watora Mari.
Wimbo huo utapatikana kwenye album yake mpya na ya saba, iitwayo Mudhara Vachauya itakayozinduliwa August 12.
Diamond ameshare picha Instagram akiwa na staa huyo na kuandika: Wraping it up my Zimbabwean brother @jahprayzah Video #Kidogo before spending time with my Miss world!”Jah 2Jah Prayzah naye ameshare video akiwa na Diamond kuelezea ujio wa video yao.

Diamond Atoa Nafasi Kwa Video Queen wa Kike Toka Bongo Kwenye Video Mpya Aliyofanya na Raymond Kama Upo Tayari Maelezo Yako HAPA


Baada ya kupigiwa kelele sana kuhusu kutumia wanawake wa kizungu kwenye video zake, Diamond amelegeza moyo wake na sasa ameamua kuwapa nafasi warembo wa Bongo. 
Staa huyo ametangaza kuwa wiki hii ataanza kushoot video ya wimbo aliomshirikisha msanii aliyechini ya label yake ya WCB, Raymond na kuwataka wasichana wote wanaodhani wana urembo wa kuing’arisha video yake wazeme kwenye DM.
“Shooting my other HIT ft Ray Vanny next week in Dar / Tanzania. If you are cute & African Queen and you would love to be part of it DM me,” alitweet mwishoni mwa wiki.
Alidai kuwa video hiyo itakuwa na maudhi ya Kiafrika. Hata hivyo haijajulikana iwapo atatumia muongozaji wa nyumbani ama atamdondosha muongozaji wa Afrika Kusini.
Aliwahi kumleta God Father kushoot sehemu ya video ya wimbo wake ‘Utanipenda’ pamoja na video ya Raymond, Kwetu.
Hata hivyo kwa sasa ameonekana kupenda kufanya kazi na Nick aliyeongoza video ya Bado, Make Me Sing na Ibaki Story.

Video: Hii ndiyo heshima ya Diamond aliyompa Alikiba, Cheki hapa

Meneja wa Diamond, Babu Tale ameonyesha kuwa wao hawana tatizo na Alikiba baada ya kupost kipande cha video kinachoonyesha picha ya msanii huyo ndani ya studio ya Wasafi Records.
Bongo
Ni muda mrefu imezungumzwa kuwa Diamond platnumz na Ali kiba wana bifu mpaka kupelekea kuanzishwa kwa baadhi ya team za mitandaoni za kukejeli mafanikio ya msanii wa team nyingine lakini hiyo ni dalili kuwa ipo siku itabaki historia tu.
Babu Tale alipost kipande hicho cha video kinachoonyesha baadhi ya picha za wasanii wakubwa Bongo akiwemo Marehemu Bi Kidude, Mr Blue, Dully Sykes, Juma Nature, Q Chief, Ali kiba na wengine wengi.
Je, hiyo inaweza ikawa ndiyo kiki ya kuikaribisha video ya wimbo mpya wa Diamond aliowashirikisha P Square ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni?
Tazama video hapa.

Hii ndo sababu ya kuchelewa kutoka kwa video ya wimbo wa Diamond na P-Square

Diamond ana kesi kwa mashabiki wake. Ijumaa na Jumamosi hii wamekuwa wakisubiri kwa hamu video ya wimbo wake aliowashirikisha P-Square ambayo aliahidi ingetoka jana, lakini hadi sasa kimya!!
13391282_1720418924842544_639480599_n
Wengi wameonesha kukusa uvumilivu na wameanza kuelezea kusikitishwa kwao kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii.
Lakini tumeongea na uongozi wake kutaka kujua nini sababu za kuchelewa kutoka kwa video hiyo, na umesema kuwa kuna vitu vichache vimechelewesha na kwamba mashabiki wasiwe na shaka kwasababu kiu yao itakatwa.
“Kuna vitu vinachelewesha ila tupo katika final touches,” meneja wa Diamond, Sallam ameiambia Bongo5.
“Ukiwapa kitu kibaya watalalamika ni bora wafanye subira wapate kizuri zaidi,” ameongeza.
13394907_148279392249887_312846207_n
Video ya wimbo huo ilifanyika nchini Afrika Kusini na utakuwa wimbo wa kwanza P-Square wanasikika wakiwa pamoja tangu kundi lao kudaiwa kuvunjika.
Ijumaa hii Diamond alipost kwenye Instagram picha ya mwanae Tiffah mwenye umri wa miezi 11 sasa na kuandika: On the LONG conversation with my Miss World before Making a History.”
Ujumbe huo uliwapa matumaini mashabiki wake kuwa muda wa kuiona video hiyo umekaribia.

Video: Utajiri wa Diamond umefikia shilingi bilioni 8.6

Kumekuwepo na tetesi nyingi kuhusu utajiri wa Diamond Platnumz umefikia kiasi gani. Hilo ni swali ambalo hajawahi kulijibu kwa uhakika zaidi ya kutoa tu hints na kuwaacha wanaouliza kubaki na majibu yao wenyewe vichwani.


Lakini kupitia kipindi maalum cha kituo cha runinga cha E!TV, E Vip kilichorushwa Jumapili ya June 26, tunaweza kusema walau kwa uhakika staa huyo ana utajiri mkubwa kiasi gani. Diamond ana utajiri wa dola milioni 4 za Kimarekani ambao kwa shilingi ya Tanzania ni zaidi ya bilioni 8.6.


Si kitu kinachoshangaza tena kwa Diamond kutokana na hatua aliyofikia akiwa msanii anayelipwa fedha nyingi zaidi Tanzania kwa sasa. Fedha zake nyingi zinatokana na show zake zisizokauka za ndani na nje ya nchi, mikataba ya ubalozi na matangazo kutoka makampuni kama Vodacom, Cocacola, DSTV na Red Gold. Hivi karibuni alipata deal jingine la kutangaza huduma ya taxi ya Uber.

Pia amekuwa akiingiza fedha nyingi kupitia biashara ya nyimbo zake hasa miito ya simu, malipo ya mirabaha kutoka nchi za jirani kama Kenya bila kusahau biashara za mtandaoni zikiwemo Youtube.
Uwekezaji wake kwenye label ya WCB ni kitu kingine kikubwa ambacho kitaanza kumuingizia fedha nyingi siku za usoni. Hadi sasa amesaini wasanii wanne wakiwemo Rich Mavoko, Raymond, Harmonize na dada yake Queen Darleen.

Lakini pia staa huyo anafahamika kwa kuwekeza zaidi fedha kwenye ardhi na nyumba huku akidaiwa kumiliki maeneo mengi jijini Dar es Salaam.

Collabo ya Diamond na P Square imeiva, inatoka Muda wowote kuanzia sasa

#SimbaKasema, Ngoma ya Diamond na wakali wa Nigeria, P square inatoka muda wowote kuanzia sasa.
Diamond bado hajasema jina la wimbo huo lakini tayari ameanza kuupigia promo kwenye mitandao ya kijamii, Kupitia instagram, Diamond ameandika:
“My People!!!!!!!!! Subscribe to my Youtube Channel now so that you can be the first one to watch the HIT from SIMBA ft P-SQUARE!!!! (Najua unakiu kias gani….haya Jiunge na Channel yangu ya YOUTUBE sasa ili uwe mtu wa kwanza kushuhudia Mshine yangu Mpya Nilowashirikisha P-SQUARE! ) Cc @peterpsquare @rudeboypsquare #SimbaKaseMa”

Kwa upande mwingine meneja wake, Sallam ameahidi kuwa muda ambao Subscribers wa staa huyo kwenye channel yake ya Youtube watafika laki tano video hiyo itaachiwa muda huo huo, hadi sasa wapo 287,999.

Mashabiki wa staa huyo wameonesha shauku zaidi ya kuupokea mzigo huo mpya wa Diamond Feat. P square.

Alikiba awaomba mashabiki kumpigia kura Diamond

Alikiba amewaomba watanzania kumpigia kura Diamond anayewania tuzo ya BET zitakazofanyika, Juni 26 Los Angeles, Marekani.
Sony-Alikiba
Wiki iliyopita Diamond alitangazwa kuwania tuzo ya BET kwa mara ya pili kwenye kipengele cha Best International Act: Africa akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki huku tuzo hiyo ikiwaniwa na wasanii wengine kama Wizkid, Yemi Alade, AKA, Cassper Nyovest, Black Koffie, MZVEE na Serge Beynaud.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Alikiba aliwaomba watanzania wampigie kura Diamond kwenye tuzo anazoshiriki za BET na kusema kuwa yeye ndiye msanii pekee anayeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano hayo hivyo watanzania wampigie kura ili aweze kushinda.
“Of course nawasupport wote ndiyo, vote for Diamond kwenye tuzo za BET kwa sababu yeye ndiyo anayetuwakilisha,” alisema Alikiba.
Alikiba kwa sasa ni msanii aliye chini ya label ya Sony Music na wimbo wake mpya ‘Aje’ unafanya vizuri kwenye TV na Redio japo una siku tano tu tangu utoke, May 19.

Rich Mavoko ashoot video akiwa na Diamond SA, kutambulishwa WCB ‘soon’



Diamond Platnumz alimpeleka Rich Mavoko kwenda kushoot video ya wimbo wake mpya na wa kwanza akiwa chini ya Wasafi Records, imebainika.
Diamond na Mavoko
Mavoko anadaiwa kuwa ameshasaini kuwa chini ya record label hiyo inayokua kwa kasi kitambo tu lakini uongozi unasubiri hadi video yake itakapokamilika ndipo atambulishwe rasmi.
13259657_1087572301315600_1085747373_n (1)
Diamond na Mavoko walienda Afrika Kusini May 16 na ofcourse hawakusema chochote zaidi ya muimbaji huyo wa ‘Make Me Sing’ kuweka picha hiyo juu akiwa kwenye ndege na kuandika: On Another Move…. Eeh Mwenyez Mungu nibarikie na Hii…. pray #WcbWasafi.”
Mavoko anakuwa msanii wa tatu kuwa chini ya WCB baada ya Harmonize na Raymond.