Showing posts with label ENT. Show all posts
Showing posts with label ENT. Show all posts

DOWNLOAD : Silas – Nimezama

Silas – Nimezama
AUDIO | Silas – Nimezama | Download/Listen Mp3


Davido – Turn It Up ft. Rae Sremmurd & Young Thug

Davido - Turn It Up ft. Rae Sremmurd & Young Thug

Music: “Turn It Up” by Davido ft. Rae Sremmurd & Young Thug Free Song Audio Mp3 Download.

American-born Nigerian recording artist, performer and record producer, Davido is working on another new single titled “Turn It Up”, a collaboration with American hip hop duo Rae Sremmurd and American hip hop artist from Atlanta Young Thug. Relax, we will update the download link once they drop it.

The HiPipo Music Awards 2017-Complete List of Winners

Yesterday, we witnessed the happening of the 5th prestigious HiPipo Music Awards (#HMA2017) at the Serena Hotel in Kampala. The HiPipo team increased the number of categories from 27 to 38 and introduced 8 new categories  including; ‘Quinquennial Africa Music Vanguard Award (2012/2016)’, ‘Music Icon of the Decade (Uganda: 2006-2016)’, ‘Must Watch Talent’, ‘Commended A-Cappella Group’, ‘Song of the Year-Kenya’, ‘Song of the Year-Tanzania’, ‘Song of the Year-Rwanda’ and ‘Song of the Year-South Sudan’. This year we have seen Beebe Cool & Sheebah take home the biggest awards of the nights which is a reflection of their hard-work of the past year. The event had top billing performances from acts such as Ziza Bafana, Navio, Sheebah Karungi, Bebe Cool, Sammy Kasule, Frank Mbalire, Ziwuna Band, Maureen Nantume, Levixone, Feffe Bussi, Afande Miah, Affande OJ, Sauti Ya Africa, Dj Pius among others. With the theme ‘The Fans Decide, here’s a complete list of the 5th HiPipo Music Award Winners.
1. Best Hip Hop SongSala Puleesa by Mun G2. Best Global ActMichael Kiwanuka3. Song of the Year South SudanSambala by MB Law and Rhapsody Ft Radio & Weasel4. Must Watch Talent  KizAza5. Commended A-Cappella GroupCanaan Gents6. Best Regional Song  Ninkwesiga by Ray G Rhiganz7. Best Audio ProducerNessim8. Best Video ProducerNG Filmz UG (Dr. Nolton)9. Best DJDj Slick Stuart & Dj Roja10. Best Song WriterJohn Kay11. Best  ZOUK Song  Same Way by Geosteady And Lydia Jazmine12. Song of the Year Rwanda  Indoro by Charly & Nina Feat Big Fizzo13. Video Trailblazer AwardWaka Stars14. Entertainment Showpiece Act of 2016  Madina Nalwanga15. Quinquennial Africa Music Vanguard AwardDiamond Platnumz16. Best R&B SongAddicted by Maro Ft Iryn Namubiru17. Best RELIGIOUS SongOmusiibi by Swahaba Kasumba18. Song of the Year TanzaniaAje by Alikiba19. Best Music GroupPine Avenue520. Life Time Achievement AwardSammy Kasule21. Best RAGGA-DANCEHALL SongTuli Majje by Ziza Bafana22. Best AFROBEAT SongNkwatako by Sheebah Karungi23. Best REGGAE SongMariana by A Pass24. Song of the Year KenyaUnconditionally Bae by Sauti Sol and Alikiba25. East Africa Super HitUnconditional Bae by Sauti Sol Ft Alikiba26. East Africa Best New ActNavy Kenzo27. Best  BAND SongSembera by Mary Bata28. Best  Folk SongMayumba Kumi by Jackie Kizito29. Best AFROPOP SongDangerous by Ceaserous30.   East Africa Best VideoSalome by Diamond Platnumz ft Rayvanny31. Best Breakthrough ArtistRoden Y32. Video of the YearKisasi Kimu by Sheebah Karungi (Video director Sasha Vybs)33. Song of the YearKabulengane by Bebe Cool34. Album of the YearThe Chosen Album by Navio35. Best Male ArtistBebe Cool36. Best Female ArtistSheebah Karungi37. Music Icon of the DecadeBebe Cool38. Artist of the YearSheebah Karungi

Ali Kiba atoa tsh 21Milioni na Diamond atoa tsh 20Milioni jumla tsh 41milioni kusaidia ‘GSM Foundation’ Bofya kujua zaidi

Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhawani Kikwete amewapongeza wasanii wa muziki, Diamond Platnumz na AliKiba kwa kutoa msaada wa tsh 41milioni kwa ‘GSM Foundation’ ili kusaidia jitihada za taasisi hiyo za upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi.
Diamond na Ali Kiba

Mtoto huyo wa Rais mtaafu, amewapongeza wasanii hao kwa kuonyesha kuguswa na kusaidia matatizo ambayo yanatokea katika jamii.

“Katika vitu vimeonyesha umuhimu wa kuwa stars katika jamii yetu ni hili mlilolifanya wadogo zangu. Ni jambo la kusifiwa na Mungu atawalipa kwa kuwaongezea maarifa ya kufanya kazi zenu vizuri,” Ridhiwani aliandika katika instagram yake.

Aliongeza, “Pia niwapongeze sana GSM Foundation kwa kazi nzuri mnayoifanya. Kutoa si utajiri, ni moyo na mungu atakuzidishia ndugu mkurugenzi Gharib pale ulipotoa. Kila la kheri katika kusaidia jamii yetu yenye mahitaji. Peace to you,”

Siku chache zilizopita Diamond Platnumz alitoa msaada kwa taasisi hiyo wa tsh 20 Milioni na baadae AliKiba na yeye aliamua kutoa tsh 21 Milioni.

Diamond, Alikiba, Navy Kenzo, Vanessa watajwa kuwania tuzo za AYCA2016

Diamond Platnumz, Alikiba, Navy Kenzo, Vanessa Mdee, Mama Salma Kikwete na wengine wametajwa kuwania tuzo za Africa Youth Choice [Awards] 2016. Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi ya Septemba 17 jijini Lagos, Nigeria.
Chini ni orodha nzima ya wanaowania tuzo hizo mwaka huu:
BEST MALE:
DIAMOND PLATNUMZ – TANZANIA
AHMED SOULTAN – MOROCCO
FALZ – NIGERIA
TEKNO – NIGERIA
STONE BOY – GHANA
EDDY KENZO – UGANDA
DONALD – SOUTH AFRICA
LIL KESH – NIGERIA
BISA KDEI – GHANA
CASPER NYOVEST – SOUTH AFRICA
KISS DANIEL – NIGERIA
BEST FEMALE:
IRENE NTALE – UGANDA
VANESSA MDEE – TANZANIA
SEYI SHAY – NIGERIA
YEMI ALADE – NIGERIA
EFYA – GHANA
ASA – NIGERIA
VICTORIA KIMANI – KENYA
WIYALA – GHANA
BUSIWA -SOUTH AFRICA
KNOWLESS BUTERA – RWANDA
WAJE – NIGERIA
VIDEO OF THE YEAR:
ADORE HER – FUNBI x POE – NIGERIA
SOLDIER – FALZ x SIMI – NIGERIA
ISABELLA – SAUTI SOL – KENYA
GOOD TIMES – KISS DANIEL – NIGERIA
RIGHT NOW – SEYI SHAY – NIGERIA
SKIN TIGHT – MR EAZI x EFYA – NIGERIA x GHANA
STANDING OVATION – TIWA SAVAGE x OLAMIDE – NIGERIA
BABY SOWETO – WIZKID x MARIPOLSA – NIGERIA x SOUTH AFRICA
OMO ALHAJI – YCEE – NIGERIA
EMERGENCY – DBANJ – NIGERIA
OMNI KNOWEST WAJE – NIGERIA
SHEE KENA – STONE-BOY – GHANA
PRAY FOR ME – DAREY ART ALADE X THE SOWETO GOSPEL CHOIR – NIGERIA x SOUTH AFRICA
BEST SONG BY A DUO GROUP OR FEATURING:

GAME – NAVY KENZO – TANZANIA

SKOLOM – VVIP – GHANA
SKIN TIGHT – MR EAZI x EFYA – NIGERIA x GHANA
BABY SOWETO – WIZKID x MARIPOLSA – NIGERIA x SOUTH AFRICA
MONEY – DAVIDO x OLAMIDE – NIGERIA
ROMANTIC – KOREDE BELLO x TIWA SAVAGE – NIGERIA
SHAKE YA BAM BAM – SAUTI SOL – KENYA
THIS IS WHO I AM – AHMED SOULTAN x WIYALA – MOROCCO x GHANA
STRONG WOMAN – WAJE x OTHER AFRICA WOMEN – AFRICA
ALL I WANT IS YOU – BANKY W x CHIDNMA – NIGERIA
CONCUR – TIMAYA x DON JAZZY – NIGERIA
LAGOS TO KAMPALA – RUNTOWN x WIZKID – NIGERIA
CAUSE TROUBLE – LIL KESH x YCEE – NIGERIA
DJ OF THE YEAR (FEMALE):
DJ CUPPY – NIGERIA
DJ SWITCH – NIGERIA
DJ LAMBO – NIGERIA
DJ PENNY – TANZANIA
DJ NYCE – GHANA
DJ NANA – NIGERIA
DJ SWITCH – NIGERIA
ARTIST OF THE YEAR:
ALIKIBA – TANZANIA
SHATTA WALE – GHANA
WANDE COAL – NIGERIA
YEMI ALADE – NIGERIA
FALZ – NIGERIA
CASPER NYOVEST – SOUTH AFRICA
DIAMOND PLATNUMZ – TANZANIA
AHMED SOULTAN – MOROCCO
AWARD FOR THE PROMOTION/ ADVANCEMENT OF GIRL CHILD EDUCATION IN AFRICA:
ABISOYE AJAYI – GIRL CODING – NIGERIA
MS VEE – GHANA
JOYCE KIRYA – TANZANIA
MAMA SALMA KIKWETE – MTOTO WA MWENZIO MWANAO
AWARD FOR THE PREVENTION AND CONTROL OF HIV/AIDS IN AFRICA:
TIERS FOUNDATION – NIGERIA
MAMA TERRY – TANZANIA
LADY JAYDEE – TANZANIA
MAMA SALMA KIKWETE – TANZANIA
WOMEN VANGUARD AWARD:
TANZANIA WOMAN’S BANK – TANZANIA
TANZANIA WOMEN LAWYERS ASSOCIATION – TANZANIA
JOYCE KIRYA – TANZANIA
ABISOYE AJAYI – NIGERIA
NANA OYE LITHUR – GHANA
WAJE; SAFE HOUSE PROJECT – NIGERIA
LINDA IKEJI; SELF MADE PROJECT – NIGERIA
AWARD FOR HUMANITARIAN AND CHARITY WORKS:
JULIET IBRAHIM – GHANA
JOYCE KIRYA; WANAWAKE LIVE – TANZANIA
HOYCE TEMU; MIMI NA TANZANIA – TANZANIA
MILAN MAGESSE
AWEBET FRANCIS
KONAMI
WADIBEN HIRKI FOUNDATION
ISAAC KWAKI ESSIEN; SPOOR LIFE – GHANA
GLOW CARE FOUNDATION – NIGERIA
ELIZABETH MOTILEWA – NIGERIA
LINDA IKEJI; SELF MADE PROJECT – NIGERIA
ART FOR A CAUSE ; OSA SEVEN – NIGERIA
YOUTH COMPANY OF THE YEAR:
MO’ ENTERPRISES – TANZANIA
SUPER DOLL – TANZANIA
YUDALA – NIGERIA
ECHO HOUSE – GHANA
SMOOTHIE EXPRESS – NIGERIA
EMPIRE REPUBLIK – GHANA
JSS MEDIA – GHANA
ECO POST – KENYA
ADEDEJI ALEBIOSU – NIGERIA
ORANGE CULTURE – NIGERIA
ON POINT CLOTHING – NIGERIA
RWANDA CLOTHING – RWANDA
CORS – NIGERIA
JREASON – NIGERIA
NAIRA BET – NIGERIA
CANDY CITY : GHANA
TRIA GROUP – KENYA
OSA SEVEN – NIGERIA
WASP AND SPROUT – KENYA
LETI ARTS – GHANA
YOUTH OF THE YEAR:
BERYL AGYEKUM – GHANA
PATRICK NGOWI – TANZANIA
JAKE OKECHUKWU – NIGERIA
ABISOYE AJAYI – NIGERIA
AKIN ALABI – NIGERIA
MUSA “ MR CANDY” – GHANA
JOHN OBIDI – NIGERIA
OSA ; OSA SEVEN – NIGERIA
EYRAM TAWIA – GHANA
ENTREPRENEUR OF THE YEAR:
MAMA ROCKY – TANZANIA
SHERIAN NGOWI – TANZANIA
JOSELYNE UMUTONIWASE – RWANDA
TRUSHAR KHETIA – KENYA
MERCY KITOMARY MARLEY – TANZANIA
KWAD DWO SAFO KANTANKA – GHANA
ANGELA NEALE – KENYA
NNAMDI; YUDALA – NIGERIA
LORNA RUTTO – KENYA
JASON PORSCHE – NIGERIA
EYRAM TAWIA – GHANA
LINDA IKEJI – NIGERIA
PATRICK; ONPOINT CLOTHING – NIGERIA
MUSA; MR CANDY – GHANA
BEST TECH START UP:
OGA TAXI – NIGERIA
FUELED UP – NIGERIA
GUMZO; MWINULA KINHA MKONO – TANZANIA
KANTANKA AUTOMOBILE
JOVAGO.COM
YAOOYA – EGYPT
DABADUCK – MOROCCO
PIGGY BANK – NIGERIA
WE FARM – KENYA
SWEEP SOUTH – SOUTH AFRICA
LETI ARTS – GHANA
BEST APP:
AFRICHAT – GHANA
SLYDE PLAY – GHANA
SOCCER APP – TANZANIA
SHULE DIRECT – TANZANIA
COLLABO8 – GHANA
OGA TAXI – NIGERIA
FUELED UP – NIGERIA
AWARD FOR THE PROMOTION/DEVELOPMENT AND ADVANCEMENT OF AGRICULTURE IN AFRICA:

BAKRESSA – AZAM MILL CO. LTD – TANZANIA

ROSE FUNJA – AGRI INFO
MO DEWJI
MOST PROMISING YOUTH, BUSINESS OR ENTERPRISE:
A-QUBE FOOTPRINT – NIGERIA
ROBERTO AIRA – NIGERIA
JUSTSHAKARA.COM – NIGERIA
JESSE BANDS – NIGERIA
KADMIEL VAN DER PUIJE – GHANA
OFFICIAL KOSSY – NIGERIA
LAZYWRITA – NIGERIA
REVELATION OF THE YEAR FASHION:
KULA PERRY OUTLOOK – GHANA
MORAFA – NIGERIA
JREASON – NIGERIA
CORS – NIGERIA
RWANDA CLOTHING – RWANDA
MODUPE OMONZE – NIGERIA
HANA HIMMI – MOROCCO
ELLISHA BOIE – GHANA
LAZ YANI – SOUTH AFRICA
SOLOME KATONGOLE – UGANDA
CHAKIRRA CLAASEN – NAMIBIA
SARA MUGAMBI – KENYA
MENTAL FASHION HOUSE – ANGOLA
MIMA-te – MOZAMBIQUE
NKECHI HARRY NGONADI – NIGERIA
NEXT RATED:
ABRAHAM ATTAH – GHANA
YCEE – NIGERIA
EPIXODE – GHANA
TEMI DOLL FACE- NIGERIA
SMALL DOCTOR – NIGERIA
BOJ – NIGERIA
AJEBUTTER 22- NIGERIA
SHOW DE CAMP (SDC) – NIGERIA
TJAN – NIGERIA
KOKER – NIGERIA
MAMOSA – NIGERIA
MOST PROMISING ACT (MUSIC):
TOBY GREY – NIGERIA
TOMI THOMAS – NIGERIA
MUFASA – NIGERIA
ACE – NIGERIA
VIKTOH YBNL – NIGERIA
BEST NEW ACT:
MIZ GOLD – GHANA
HARMONIZE – TANZANIA
LAYLA ANWAR – TANZANIA
POE – NIGERIA
YOUNG GRACIE – NIGERIA
PEPENAZI – NIGERIA
DICE AILLES – NIGERIA
SKIBII – NIGERIA
HUMBLE SMITH – NIGERIA

Breaking News: Matokeo Ya Kidato Cha Sita(ACSEE) Na Ualimu (DSEE Na GATCE) 2016 Yametangazwa.....Bofya hapa Kuyaangalia

Matokeo  ya  Kidato  cha  Sita  2016  Yametoka....Bofya  hapo chini  Kuyaangalia

1.( Form Six ) ==> BOFYA  HAPA  KUYAANGALIA>>

2.DSEE==>>  Bofya Hapa

3.GATCE==> Bofya Hapa

 

Breaking News: Rais Magufuli Na Rais Wa Rwanda Paul Kagame Wazindua Rasmi Daraja La Kimataifa La Rusumo Na Kituo Cha Huduma .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakifurahia mara baada ya kuzindua rasmi daraja hilo la kimataifa la Rusumo na Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani (OSBP) cha Rusumo. Tukio hilo limehudhuriwa na viongozi wa ngazi za juu serkalini kutoka Nchi zote mbili, Mabalozi, na Viongozi wa Taasisi mbambali za Kitaifa na Kimataifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakikata utepe kwa pamoja kuashiria uzinduzi rasmi wa daraja la kimataifa la Rusumo na Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani (OSBP) cha Rusumo. Tukio hilo limehudhuriwa na viongozi wa ngazi za juu serkalini kutoka Nchi zote mbili, Mabalozi, na Viongozi wa Taasisi mbambali za Kitaifa na Kimataifa.

Ujenzi wa Daraja la Kimataifa la Rusumo na Kituo cha huduma Pamoja Mpakani Rusumo ni moja ya miradi inayotekelezwa kwa msaada kutoka Serikali ya Japan kwa Nchi za Tanzania na Rwanda kupitia shirika lake la maendeleo la JICA. 

Mradi huu kwa upande wa Tanzania umegharimu takribani kiasi cha TShs. 33,206,508,072.07 hadi kukamilika. Miradi mingine inayotekelezwa kwa kushirikiana na Serikali ya Japan kupitia JICA ni pamoja na ujenzi wa Barabara ya Arusha – Namanga, Iringa – Dodoma, Namtumbo – Kilimasera – Matemanga – Tunduru pamoja na barabara ya Masasi - Mangaka. 
 Muonekano wa sehemu ya Daraja hilo la Rusumo
 Jiwe la msingi lililowekwa baada ya uzinduzi wa daraja hilo
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakipita kwenye Daraja hilo la Rusumo mara baada ya uzinduzi
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakikata utepe kwa pamoja kuashiria uzinduzi  wa Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani (OSBP) cha Rusumo. Tukio hilo limehudhuriwa na viongozi wa ngazi za juu serkalini kutoka Nchi zote mbili, Mabalozi, na Viongozi wa Taasisi mbambali za Kitaifa na Kimataifa.
 Picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa huo

Katibu Mtendaji NACTE Ajiuzulu....Ni Kutokana na Tuhuma za Kughushi Vyeti

==>Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa NACTE Dokta Primus D Nkwera (kulia) akifafanua jambo
 
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la  Elimu ya Vyuo vya Ufundi( NACTE),Dr. Primus Nkwera amejiuzulu nafasi yake.
Uamuzi wa kujiuzulu  kwa  Dr. Nkwera ulitangazwa katika ofisi  kuu  za Baraza  hilo  zilizopo  Mikocheni  Dar es Salaam juzi na Mwenyekiti  wa  Bodi,Mhandisi Steven Mlote na kusababisha  baadhi  ya  wafanyakazi  kuangua  kilio.
Akizungumza katika kikao cha dharura cha wafanyakazi wote wa baraza hilo,Mlote alisema Dr. Nkwera amejiuzulu  ili  kulinda  hadhi  ya Nacte kutokana  na  habari iliyoandikwa na Gazeti la Dira ikimtuhumu mambo mbalimbali.
Gazeti  hilo la Dira la Jumatatu tarehe 07/03/2016 toleo no.405 lilimtuhumu Katibu Mtendaji wa NACTE, Dr.Primus Nkwera  kughushi vyeti vya shahada ya uzamivu  baada ya kusomeshwa na serikali Afrika Kusini na kufeli.

Mlote alisema kwa mujibu wa Dr. Nkwera, nafasi hiyo haipaswi kushikwa na mtu mwenye tuhuma  ya  aina  yoyote, na ametafakari na kuona ajiweke kando na uongozi wa Nacte ili uchunguzi ufanyike akiwa pembeni.

"Tumetumia muda mwingi kutafakari hoja  ya  Dr. Nkwera na hatimaye tumekubali kujiuzulu kwake kwa shingo upande," alisema Mlote na kuongeza:

"Kazi kubwa iliyofanywa na Dr. Nkwera akiwa kiongozi wa Nacte inafahamika na kila mmoja, vilio na machozi ya wafanyakazi wenzake yanadhihirisha kuwa kujiuzulu kwake kunaacha simanzi kubwa.

"Najua mmepata mshtuko mkubwa, lakini Dr Nkwera hajafa, yuko hai na huyu bado ni mtumishi wa serikali. Alichofanya ni kuamua kuachana na ukatibu utendaji.

"Tutaendelea kumtumia itakapobidi kwa ushauri.Wakati mwingine lazima mkubaliane  na  hali  hii, lakini pia  endeleen kuchapakazi kwa ufanisi kama  kawaida kana kwamba bado mko na Dr. Nkwera."

Kutokana  na  kujiuzulu  kwake, Mlote alisema bodi imemteua Mkurugenzi wa Mitaala wa Nacte, Dr Adolf Rutayunga kukaimu nafasi hiyo  wakati taratibu nyingine zikiendelea.

Akizungumza na wafanyakazi hao, Dr. Rutayunga alisema viatu alivyoviacha Dr. Nkwera ni vikubwa kwake, lakini  akaahidi kuendeleza yote  aliyoyaacha.

Mshindi wa Big Brother Idris Sultan Atuhumiwa Kuvaa Saa Feki na Kuringishia Watu Mtandaoni...


Page maarufu ya Fake Watch Busta kutoka Mtandao wa Instagram imeibuka na tuhuma kuwa mshindi wa Big Brother Africa 2014 amevaa saa feki , mtandao huo ambao kazi yake ni kuweka wazi mastaa wanaovaa saa feki umeandika haya na kuambatanisha picha hiyo hapo juu....
From @fakewatchbusta - Big Brother Africa winner @idrissultan with the worst fake Richard Mille skull i've ever seen  Skull has meth teeth and ate too much  That Hublot is missing some gold paint on the lugs as well

Kayumba (Official Video) - KATOTO | Download

Kayumba (Official Video) - KATOTO | Download MP4
 

Tekno - WHERE


Ujumbe wa Ruby kwa Alikiba baada ya kusikia Alikiba ana Mbwa anaitwa Ruby

mruMrembo wa kwanza kushinda shindano la Serengeti Super Nyota Diva Ruby January 30 ameingia kwenye headlines baada ya kutopendezwa kwa kauli ya staa wa Bongo Fleva Alikiba, kauli ambayo anaamini kama dharau au kejeli kwake. Ruby anadai kumsikia Alikiba akisema katika kipindi cha The Sporah Show kuwa ana Mbwa anaitwa Ruby kitu ambacho hakuwahi kumwambia, Ruby anaamini kuwa kafananishwa na Mbwa. Huu ndio ujumbe alioamua Ruby kumuandikia Alikiba kupitia account yake ya instagram.
1 m 4

Hii ndio post ya Alikiba iliyomfanya Wema kupata pongezi za kuhisiwa mjamzito

Usiku wa January 26 staa kutoka kiwanda cha Bongo Fleva Alikiba alipost picha katika account ya Instagram akiwepo Wema Sepetu huku mrembo huyo akiwa kashika tumbo lake kama kuashiria kuwa kuna kitu, kwa upande wa mashabiki wakaanza kutoa pongezi za kuwa mjamzito, licha ya kuwa hajasema kitu chochote.
was
  • ishaaniz@wemasepetu Allah akutangulie Dadangu am so happy Wallah for I wish could see u n hug u tyt BT am al be praying for u my dia Allah akuepushe na hasad In shaa Allah
  • agselestineSijawahi.. Furahishwa Kama ninavyozidi furahishwa na tendo hilo LA wema aisee.Duuu.. Amazing hats naandika kitu insta yaan Daaa
  • beib___cecyhahahaha mungu sio mjomba wa mtu mungu akushindie tunakuombea kpnz chetu @wemasepetu
  • fundi_ujenzi_nulikuwaga naingoja kwa hamu sana siku kama hii! ahsante mungu kwa kujibu maana hata wale wenye midomo mikubwa isiyofunga leo wamenyamaza kimya!
  • empress254Awwww @wemasepetuyour glowing beautiful..! Pregnancy looks good on you…! Wish u all the best…! The greatest gift GOD has given you..! Hes timing is always perfect..! Na wale wenye wivu wameze wembe, kwanza wale walimtukana na kumsifu eti she cant bare any child, eti hakuna mwanaume hatampenda coz ako infertile….well GOD answered every prayers and thats why HE chose @wemasepetu to birth that soon to be btful baby girl or baby boy or twins..!👶👶 Wish u a healthy pregnancy baby girl…congrats once again.! 😘#ThePowerOfGOD 🙏🙏

TAJATI YAFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA VIWANDANI JIJINI MBEYA

Baadhi ya mitambo iliyotelekezwa kwenye Kiwanda cha kutengenezea Zana za Kilimo ZZK
Mitambo ambayo ilikuwa ikitumika kutengenezea Zana za Kilimo katika kiwanda cha ZZK Iyunga jijini Mbeya ikiwa imetelekezwa
Niranjan Bandi, aliyejitambulisha kuwa ndiye Mkurugenzi mkuu wa shughuli zinazoendelea katika kiwanda cha ZZK  chini ya kampuni ya CMG akiwapa maelezo waandishi wa habari.
Waandishi wakitoka katika kiwanda cha ZZK huku wakijiuliza maswali mbali mbali kutokana na walichokikuta ndani ya kiwanda hicho.(P.T)
Baadhi ya waandishi wakichungulia ndani ya majengo ya kilichokuwa kiwanda cha kutengeneza sabuni HISOAP Kushuhudia kama kuna kilichosalia.
Huu ndiyo muonekano wa ndani ya majengo ya kilichokuwa kiwanda cha kutengenezea sabuni HISOAP kukiwa hakuna kitu licha ya kuwepo Mlinzi
Muonekano wa Jengo la kiwanda cha HISOAP lililotelekezwa ili hali serikali ya awamu ya tano ikisisitiza kuwa serikali ya Viwanda CHAMA Cha Waandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji Tanzania(TAJATI) katika kutekeleza majukumu yake kimefanya ziara katika viwanda vine vilivyopo Iyunga jijini Mbeya na kushuhudia baadhi vikiwa vimetelekezwa.
Waandishi hao 15 kutoka vyombo mbali mbali ambao ni wanachama wa TAJATI, walifanya ziara hiyo iliyoanzia katika majengo yaliyokuwa ya Kiwanda cha kutengenezea sabuni kilichokuwa kikijulikana kwa jina la HISOAP kilichopo Iyunga jijini Mbeya na kukutana na majengo hayo yakiwa yametelekezwa.
Mbali na kutelekezwa kwa majengo hayo,pamoja na kuwepo kwa mlinzi ambaye alikiri kulinda majengo ambayo ndani yake hajui kilichomo kwa kupitia matundu ya mlangoni,wanahabari hao walishuhudia ndani kukiwa hakuna hata mtambo mmoja ulichosalia na na matanki makubwa yanayoendelea kuoza nje.
“Mimi nalinda hapa kwa maagizo ya bosi wangu lakini huko ndani hakuna shughulli yoyote inayofanyika kwani hata hizo mboga zilizolimwa ni mali ya walinzi wenzetu ndiyo wamelima,sijui humo ndani kama kuna mitambo sijawahi kuona milango ikifunguliwa hata mwenye funguo simjui” alisema Mlinzi ambaye alitaka jina lake lihifadhiwe kwa usalama wake.
Aidha katika ziara hiyo timu ya waandishi ilifika katika majengo ya kilichokuwa kiwanda cha serikali, Kiwanda cha kutengenezea zana za kilimo maarufu kwa jina la ZZK ambapo timu hiyo ilipokelewa na raia mmoja wa kigeni mwenye asili ya kiasia, Niranjan Bandi, aliyejitambulisha kuwa ndiye Mkurugenzi mkuu wa shughuli zinazoendelea hapo chini ya kampuni ya CMG.
Katika maelezo yake kwa waandishi wa habari Bandi alisema ndani ya kiwanda hicho kuna shughuli za kutengeneza vipuri vya magari, uunganishaji wa matrekta madogo ya kilimo(powertiller ) kutoka China na kwamba zana za kilimo wameshindwa kutengeneza kutokana uchakavu wa mitambo iliyopo na imepitwa na teknolojia.
Aliongeza kuwa ifikapo januari 15 mwaka huu wanatarajia kuanza kutengeneza mabati baada ya kupata mtambo kutoka China ambao hivi sasa unafanyiwa marekebisho kabla ya kuanza kazi sambamba na uanzishwaji wa kiwanda cha kuzalisha bia cha Serengeti.
Wakati mwekezaji huyo akijieleza na kuonyesha mashaka makubwa ya uzalishaji kuwa ni changa la macho,Waandishi wa habari walishuhudia mitambo iliyokuwa ya kutengenezea zana za kilimo ikiwa imetekelezwa bila kufanya kazi ndani ya majengo hayo ambapo Mkurugenzi huyo alisema hawana uwezo wa kuiendesha.
Baada ya kukamilisha mahojiano na Mkurugenzi huyo waandishi hao walielekea moja kwa moja katika kiwanda cha Malumalu cha Marmo Granito ambapo walitembelea mitambo ya kuchonga na kukata mawe na bidhaa mbali mbali zinazotokana na miamba ya asili.
Mkurugenzi wa Marmo,Salim Jessa alisema tangu walipoanza uwekezaji katika Mkoa wa Mbeya wameanza kupata masoko nje ya nchi ikiwemo India,Italia na kutafuta masoko mengine nchini  China ambako watakuwa wakiuza malighafi zilizoongezwa thamani kwa ajili ya matumizi mengine.
Alisema changamoto kubwa ni ushindani wa soko baada ya kampuni zingine kujitokeza na kuanza kutengeneza bidhaa zinazotokana na mawe ya asili kama wao sambamba na uingizaji wa bidhaa zilizochakachuliwa kutoka nje kwa lengo la kuharibu soko.
Ziara hiyo ya TAJATI ilihitimishwa katika kiwanda cha Bia cha TBL ambapo waandishi walitembezwa kiwandani hapo na kisha kupata muda wa kuuliza maswali kutoka kwa wahusika.
Akizungumza na wanachama hao, Meneja wa Kiwanda cha Bia Mbeya, Waziri Jemedari alisema licha ya mafanikio waliyoyapata katika uzalishaji wanakabiliwa na changamoto kubwa ambazo ni miundombinu mibovu, gharama kubwa za maji na umeme sambamba na mlundikano wa vinywaji kutoka nje ya nchi vinavyoharibu bei ya vinywaji vinavyozalishwa nchini.
Jemedari alisema bia nyingi zinaingizwa nchini kutoka nje zinauzwa bei ya chini hivyo kupelekea wateja wengi kukimbilia na kuua soko la vinywaji vya ndani.
Na Mbeya yetu

Wastara kathibitisha kuolewa na Mbunge wa Zanzibar... Picha 12 zipo hapa



 Wastara kafunga ndoa na Mbunge wa Jimbo la Donge Zanzibar, Sadifa Khamis Juma. ambae pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM).

PICHA ZAIDI BONYEZA
 HAPA ===>bit.ly/1nbgRjn

G Nako alizwa mill.6 kwenye kikao cha wasanii..

G NakoHivi karibuni kulikuwa na kikao cha wasanii wakijadili ishu yao ya malipo baada ya ngoma zao kuchezwa redioni,msanii G Nako aliibiwa dola elfu 3 katika mazingira ya kutatanisha. ‘’ G Nako kuna watu wamemwibia hela nilichomwambia angeangalia watu waliokuwa amekaa nao pale ni watu gani sasa yeye anasema aliokuwa amekaa nao ni ndugu zake,kama ameibiwa na ndugu zake tunashindwa kuingilia hiyo kesi ya ndugu,nimesikitishwa sana,’’Alisema Baba Levo.
Msemaji wa Kundi la Weusi Niki Wa Pili anaizungumzia ishu hiyo ilivyokuwa: ‘’ Ni dola elfu tatu kwahiyo huwezi kusema kama zimepigwa au ni kwamba G Nako alizipoteza katika mazingira ya kutatanisha tulikuwa kwenye kikao cha wasanii sasa sijui kuna mtu alichomoa au zilikuwa zimedondoka lakini kusema mtu ameiba itakuwa siyo sahihi kwa kuwa hatujui zimepoteaje,’’

Hii ndo ndinga mpya anayomiliki Director Hanscana.

Gari-mpya-ya-HanscanaMtayarisha wa video kutoka Tanzania aliyepata tuzo ya mtayarishaji bora mwaka jana Hanscana amevuta ride mpya ya kutembelea kwenye kazi zake.HanscanaHanscana ambaye ni miongoni mwa waongozaji waliofanya kazi nyingi ndani ya mwaka 2015, ameweka picha ya gari hilo Instagram na kuandika: 2016 My New Car I call it ” MOYONI “S/o to my Eyes #Lexus.

Tunawajibika kuhakikisha Watanzania wananufaika – Prof Ntalikwa

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa akiwa katika kikao kazi na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara. Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Nishati, Dk. Juliana Pallangyo na Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa (Kulia) akimkabidhi mwongozo wa majukumu ya kazi Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe. Wanaoshuhudia ni Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa (Kushoto) akimkabidhi mwongozo wa majukumu ya kazi Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Nishati, Dk. Juliana Pallangyo. Wanaoshuhudia ni Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara.

Na Veronica Simba
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa amesema ni jukumu la watendaji wote wa Wizara kuhakikisha wananchi wananufaika ipasavyo na rasilimali zinazotokana na sekta husika.

Aliyasema hayo hivi karibuni katika kikao chake cha kwanza cha kazi na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara.Profesa Ntalikwa alisema pamoja na jitihada mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa na Wizara kuhakikisha wananchi wananufaika ipasavyo na rasilimali hizo, bado kuna manung'uniko kutoka kwa jamii hali ambayo inaashiria kuwa jitihada zaidi zinahitajika.

Akizungumzia sekta ya nishati, Profesa Ntalikwa alisema wananchi wanalalamika kuhusu kukatika-katika kwa umeme, gharama kubwa za umeme na ukosefu wa umeme wa uhakika na wa kutosha. Ili kukabiliana na changamoto hiyo, alisema kunahitajika kuwepo miradi mipya ya kuzalisha umeme.

Aidha, alisema kuwa moja ya malengo ya Serikali ya Awamu ya Tano kwa wananchi ni kufufua na kujenga viwanda ili kukuza na kuimarisha uchumi. “Viwanda ni umeme, hivyo hatuna budi kuzalisha umeme wa kutosha.”

Kwa upande wa sekta ya madini, Katibu Mkuu Ntalikwa alisema jitihada zinatakiwa ili kufikia malengo ya kuongeza mchango wake katika pato la taifa kutoka asilimia 3.5 ya sasa hadi kufikia asilimia 10 ifikapo mwaka 2025. 

“Tunapaswa kuweka mikakati thabiti itakayotuwezesha kufikia malengo hayo na kuyavuka ikiwezekana,” alisema.Profesa Justin Ntalikwa ni miongoni mwa Makatibu Wakuu wapya wa Wizara mbalimbali walioteuliwa na kuapishwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli. 

Manaibu Katibu Wakuu wapya wa Wizara ya Nishati na Madini walioteuliwa na kuapishwa na Rais Magufuli ni Profesa James Mdoe anayeshughulikia sekta ya Madini na Dk. Juliana Pallangyo anayeshughulikia sekta ya Nishati.

Habari Kubwa 3 Za Leo Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Paulmkale.Blogspot.com

1. TRA yakusanya trilioni 1.4 kwa mwezi Desemba..
Hii ni habari kubwa inayopewa nafasi ya kwanza na mtandao wa. Inahusu pato la taifa. TRA inaelekea kufanya kazi njema na ya kupongezwa katika kukusanya mapato ya taifa. Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya nchi.
2. Magufuli kukabidhiwa CCM Juni
Habari hii inachukua nafasi ya pili kwa ukubwa. CCM ni chama tawala. Uenyekiti wa CCM ni nafasi muhimu. Ni jambo jemba jema Mwenyekiti wa sasa na Rais Mstaafu ameamua kumpa nguvu zaidi Rais Magufuli kwa kumwachia Uenyekiti CCM.
3. Chadema wakutana
Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo- Chadema, ni chama kikuu cha upinzani. Taarifa za Chadema kukutana Moshi zimevuta macho na masikio ya wengi. Bila shaka, baada ya uchaguzi mkuu, Chadema wanakutana kujipanga, na kutakuja na tamko au matamko yatakayotokana na vikao hivyo. Hii ni habari ya tatu kwa ukubwa leo.
Soma habari nyingine za ndani ikiwamo katuni bora ya leo.

Moto Wazua Taharuki Jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani.

????????????????????????????????????
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nchi wakiwa katika wamesimama nje ya jengo hilo baada ya kutokea hitilafu ya cheche za umeme katika gholofa ya nne.
Moto (2)
Wafanyakazi ambao walipata mshtuko wa ghafla wakiwa nje ya jengo hilo.(P.T)
Moto (3)
????????????????????????????????????
Baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wanaofanya kazi zao katika jengo hilo la wizara ya mambo ya ndani wakitoka nje baada ya hitilafu hiyo.
????????????????????????????????????
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, SSP, Advera Senzo Bulimba,akizungumza na waandishi wa habari nje ya jengo la wizara ya mambo ya ndani ya nchi baada ya kutokea cheche za moto katika jengo hilo katika gholofa ya nne na kusema kuwa baada ya tukio hilo uongozi wa wizara hiyo waliwapigia simu jeshi la zimamoto ambao walifika muda sahihi na kuangalia chanzo cha moto huo na akaongeza kwa kusema kuwa hakuna mfanyakazi yoyote katika jengo hilo aliyedhurika kutokana na cheche hizo za moto zilizoonekana katika cyling board.
Moto (7)
Gari la kikosi cha zimamoto likiwa katika eneo la tukio tayari kuzima moto endapo ungedhuru jengo hilo.
Moto (1)
Wafanyakazi wa wizara hiyo wakiwa nje ya jengo, pembeni ni gari la zimamoto.
Mapema leo asubuhi, jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani jijini Dar es Salaam lilinusurika kuwaka moto baada ya kutokea cheche za umeme ndani ya jengo hilo na kuzua taharuki kwa watu waliokuwemo ndani ya jengo hilo kabla ya Kikosi cha Zimamoto kufanikiwa kuudhiti moto huo.