
Mrembo wa kwanza kushinda shindano la
Serengeti Super Nyota Diva Ruby January 30 ameingia kwenye headlines baada ya kutopendezwa kwa kauli ya staa wa Bongo Fleva
Alikiba, kauli ambayo anaamini kama dharau au kejeli kwake.
Ruby anadai kumsikia
Alikiba akisema katika kipindi cha
The Sporah Show kuwa ana Mbwa anaitwa
Ruby kitu ambacho hakuwahi kumwambia,
Ruby anaamini kuwa kafananishwa na Mbwa. Huu ndio ujumbe alioamua
Ruby kumuandikia
Alikiba kupitia account yake ya instagram.
No comments:
Post a Comment
paulmkale