Diamond Planumz bado anaendelea kutesa katika muziki wa Afrika, sasa
yuko katika mipango ya kwenda Marekani kushoot video yake na msanii wa
Kimataifa NE-YO, audio ya kolabo hiyo ilifanyika mwaka jana.
Kwa Mujibu wa Diamond Platnumz alipokuwa akihojiwa na Millard Ayo
amesema kuwa mwezi wa tatu ataenda Marekani kufanya video yake na Ne-yo
pia atafanya kazi na wasanii kadhaa akiwemo Swiz Beatz.
No comments:
Post a Comment
paulmkale