Kaa Tayari;Kala Jelemiah Kuja Na Ngoma Mpya:USIKATE TAMAA"Ndo Jina La Wimbo
Katika account yake ya Instagram Kala Jeremiah ametuonyesha cover hilo
hapo juu huku akisema mko tayari kuashiria kuna kitu kipya kinakuja
kutoka..> kwake. Safari hii inaonyesha atakuwa amemshirikisha sanii mkali
kwenye maadhi ya R&B mkongwe NURUWELL, wimbo umepewa jina la USIKATE
TAMAA lakini bado hatujajua ni studio gani amefanya na lini utatoka so
tuendeleeni kusubiri Wadau.
No comments:
Post a Comment
paulmkale